Mwimbaji Snura wa Majanga amefunguka haya kuhusu maadili ya Video yake
mpya ya Chura na kuhusu kama itapelekwa kwenye vituo vya Television:
“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala
sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa
nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina
maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa
kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie
youtube kuiangalia” Snur
entertaiment
Thursday, April 28, 2016
0 Response to "SNURA Afunguka Kuhusu Video ya Chura Kupigwa Katika Vituo vya TV...Adai Anaeona Haina Maadili Asiangalie"
Post a Comment