entertaiment
Saturday, April 23, 2016
Nay Wa Mitego kumsaidia mzazi mwenzie ‘Siwema’ Baada ya Kufungwa Jela Miaka Miwili
’Inabidi niondoke hivi karibuni ilibidi nisubiri nimalize shoo lakini kwa ajili ya kumpambania kwa ajili ya kwenda kujua ‘situation’ ya kule ikoje na pia wapi pa kuanzia,mwisho wa mwezi huu nina shoo mjini Sumbawanga lakini inabidi niende kwanza Mwanza nikafight suala la huyu bibie halafu nijue inakuwaje kama nita’cancel’ shoo au itakuwaje lakini hadi sasa hivi nawasiliana na ndugu zake kila mtu amekuwa kama amepagawa hivi hakuna anayejua wapi kwa kuanzia unajua kimekuwa ni kitu ambacho hakuna mtu aliyekuwa anategemea’’Alisema Nay Wa Mitego
0 Response to " Nay Wa Mitego kumsaidia mzazi mwenzie ‘Siwema’ Baada ya Kufungwa Jela Miaka Miwili"
Post a Comment