
Rais wa Marekani
Barack Obama amasisitiza kuwa Uingereza itapoteza ukuaji na ushawisi
wake iwapo itaamua kuondoka katika muungano wa Ulaya kupitia kwa kura ya
maoni mwezi Juni.
Akiongea baada ya mazungumzo na waziri mkuu wa
Uingereza David Cameron mjini London, Obama alisema kuwa Uingereza
itakuwa nyuma katika kuafikiana mikataba ya kibiashara na Marekani ikiwa
itaondoka.Wale wanaounga mkono kuondoka kwa Uingereza wamekosoa hatua za rais Obama za kuingilia kati suala hilo.
Obama hatahivyo amesema kuwa hakuwa na nia ya kushawishi kura bali kuongea ukweli kama rafiki
0 Response to "Obama: UK kupoteza ushawishi wake ikijiondoa EU"
Post a Comment