Jina la Wizkid linazidi kung’ara duniani, shukrani kwa shavu alilopewa na Drake.
Wimbo ‘One Dance’ wa Drake aliomshirikisha msanii huyo wa Nigeria
umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100. Wimbo huo
upo kwenye album ya Drake, Views ambayo pia nayo imeshika nafasi ya
kwanza kwenye Billboard 200 chart.
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
1. Drake feat. Kyla & WizKid – “One Dance”
2. Desiigner – “Panda”
3. Lukas Graham – “7 Years”
4. Mike Posner – “I Took a Pill in Ibiza”
5. Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
6. Rihanna feat. Drake – “Work”
7. The Chainsmokers feat. Daya – “Don’t Let Me Down”
8. Zayn – “Pillowtalk”
9. Calvin Harris feat. Rihanna – “This is What You Came For”
10. Justin Bieber – “Love Yourself”
News
Tuesday, May 10, 2016
0 Response to " Wizkid Ashika Nafasi ya Kwanza Billboard, Shukrani kwa Drake"
Post a Comment