Akihojiwa na Mtangazaji Yvonne Kamuntu kwenye Azam News, Mchumi mbobezi
hapa nchini Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema uhaba wa sukari uliopo
kwa sasa nchini umesababishwa na Rais John Magufuli mwenyewe kwa kuzuia
sukari ya nje kutoingizwa Nchini, ilhali viwanda vyetu havikidhi idadi
inayohitajika katika uzalishaji wake.
Pia Prof. Lipumba amesema hakuna sheria inayoruhusu Serikali au Bodi ya
Sukari kupanga bei ya sukari nchini hivyo ametaka siasa kuacha kutumika
katika mambo serious na wafanyabiasahara wasitishwe
News
Tuesday, May 10, 2016
0 Response to "Prof. Lipumba: Uhaba wa Sukari Umesababishwa na Rais Magufuli"
Post a Comment