Unakumbuka kipindi Kanye West na Kim Kardashian wameanzisha uhusiano wao? Watu waliwapa
Leo hii ni wanandoa, wana watoto wawili na penzi lao bado lipo imara.
Ndivyo ilivyoonekana kwa Barakah Da Prince na Naj pia. Ni kwasababu
katika kipindi kifupi tangu aanze kuvuma, Barakah alihusishwa kuwa na
uhusiano na warembo A-List wakiwemo Linah, Meninah, Masogange na hadi
Nisha.
Hivyo wengi walivyosikia kuwa muimbaji huyo wa ‘Siwezi’ kahamishia
mapenzi kwa Naj, walijua napo anapita tu. Pia ni kutokana na mahusiano
mengi ya mastaa hayadumu. Guess Barakah anaweza kutuprove wrong
kwasababu kuna kila dalili kuwa penzi lao limezidi kushika mizizi zaidi
na hawataki tena kulificha.
Swali ni je wataendelea kuwa pamoja kwa miaka mingi ijayo?
News
Tuesday, May 10, 2016
0 Response to "Mapenzi ya Barakah Da Prince na Naj yazidi Kunoga (Picha)"
Post a Comment