Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati anawaibia wananchi hakuwa..
News
Thursday, April 21, 2016
Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Mafisadi Wanaolalamika Kutumbuliwa Hadharani
Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati anawaibia wananchi hakuwa..
0 Response to "Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Mafisadi Wanaolalamika Kutumbuliwa Hadharani "
Post a Comment