KUTOKA BUNGENI: BAJETI ZA kila wizara mezani leo bungeni
MACHO na masikio ya wananchi
yameelekezwa leo bungeni kusikia jinsi Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu inavyowasilisha makadirio ya
bajeti.
Sambamba na hilo, pia hati nyingine
itakayowasilishwa bungeni leo ni Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali
(CAG) ya mwaka 2014/15 , ambapo serikali itatakiwa kutoa majibu ya hoja
mbalimbali za ukaguzi huo.
0 Response to "KUTOKA BUNGENI: BAJETI ZA kila wizara mezani leo bungeni"
0 Response to "KUTOKA BUNGENI: BAJETI ZA kila wizara mezani leo bungeni"
Post a Comment