PICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba

blogger templates
Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.

Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana.

0 Response to " PICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba"

Post a Comment