Mwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha..Adai Kikwete Amestaafu Urais na Pesa

blogger templates

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Ameandika kwenye page yake ya Facebook
''Dady i miss u 😭. pesa imestaafu na wewe, maisha magumu kweli, siku hizi pesa naiona kwenye taarifa ya habari, habari za biashara''

0 Response to "Mwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha..Adai Kikwete Amestaafu Urais na Pesa"

Post a Comment