KAZI KAZI MSAIDIZI WA OFISI...............................................

blogger templates
  • Job Vacancy > Msaidizi wa Ofisi
    Location > Dar Es Salaam
    Position Type > Full Time
    Organization Type > Company

  • Business Essentials Company



Application Deadline: 27 May 2016
Msaidizi wa Ofisi POSITION DESCRIPTION:

Darasa la saba au kidato cha nne, anayejua kusoma kuandika na hesabu. Mwaminifu, Mwenye bidii ya kazi, mbunifu na anayependa kujifunza

Majukumu yake yatakuwa: Kumsaidia Secretary kazi kulingana na atakavyopangiwa, Kupeleka tax invoice, Profoma invoice, nyalaka nyingine muhimu kwa wateja na kupelekaka mizigo kwa wateja baada ya kazikufanya(Goods delivery)

Kazi nyingine kwa kadri atakavyo pangiwa.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Kama umeona unafaa tuma CV yako kupitia kitufe cha APPLY NOW apo chini

0 Response to "KAZI KAZI MSAIDIZI WA OFISI..............................................."

Post a Comment