Kauli ya Msemaji wa Yanga Baada ya Simba Kufungwa na Mwadui na Kuipa Yanga Ubingwa hii Hapa

blogger templates
"Tunawashukuru sana wa matopeni kwa kutubeba, hii inadhihirisha ni jinsi gani wanatupenda, bahati nzuri hata sisi tunabebeka, unajua unapobebwa, yule anayekubeba sharti achutame halafu unayebebwa unampandia juu, juu ya mgongo, Simba wametubeba kwa kutupa ubingwa"

Je, unakubaliana na kauli hii ya msemaji wa Yanga?

0 Response to "Kauli ya Msemaji wa Yanga Baada ya Simba Kufungwa na Mwadui na Kuipa Yanga Ubingwa hii Hapa"

Post a Comment