-
Job Vacancy > Tailor [Mshonaji]
Location > Dar Es Salaam
Position Type > Full Time
Organization Type > Domestic Staff -
Bates Fashion
Application Deadline: 28 May 2016
Tailor [Mshonaji] POSITION DESCRIPTION:
Bates fashion ni ofisi ya ushonaji yenye mkakati mzuri wa kukua na kua miongoni mwa kampuni kubwa za ushonaji. Kwa sasa tunatafuta fundi wa ziada kwaajili ya kuweza kufanikisha uzalishaji wa bidhaa zetu za ushonaji.
Fundi anaetafutwa awe na vigezo vifuatavyo;-
1. Mwaminifu
2. Mwadilifu
3. Mchapa kazi
4. Mwenye uwezo wa kushona nguo za mitindo tofauti
5. Mwenye uwezo wa kushona nguo za kike na kiume.
6. Mwenye uwezo wa kutumia mashine za kushonea aina tofauti hasa zile za viwandani.
7. Awe anajua kudarizi.
8. Awe tayari kujifunza vitu vipya.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Kutuma maombi tafadhari tutumie barua pepe kupitia kitufe cha APPLY NOW ukieleza kwa ufupi uzoefu ulionao, namba zako za simu na barua pepe kama unayo, na pia namna ya malipo ambayo ungependa kupewa na kiasi unachotegemea kuingiza kwa mwezi
0 Response to "job vacancy in Tailor [Mshonaji]"
Post a Comment