GADNA adai kuwa hana ugomvi na jidee eti amemkojoza miaka ......................>>>>>>>>>>>>>>>>>angalia mwenyewe,

blogger templates
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.


Ninayo video ila sijui jinsi ya kuiweka.

0 Response to "GADNA adai kuwa hana ugomvi na jidee eti amemkojoza miaka ......................>>>>>>>>>>>>>>>>>angalia mwenyewe,"

Post a Comment