Baada ya miaka 46 ya ndoa, mwanamke mwenye miaka 70 amejifungua mtoto wa kwanza huko India.
.
Daljinder Kaur amejifungua mtoto wa kiume baada ya kupata matibabu ya IVF kwenye kliniki za uzazi huko India.
Kwenye picha akiwa na mume wake wa miaka 79, Kaur alisema yeye na mume
wake walikuwa karibu kukata tamaa ya kupata mtoto kutokana na umri wao
na kuona Kama Mungu amewalaani wasipate mtoto.
Alisema hatimae Mungu amejibu maombi yao na wamepata mtoto na sasa wanajiona wamekamilika.
Aliendelea kusema kuwa yeye na mume wake watamlea mtoto wao wenyewe
kwasababu huyo mtoto amewapa nguvu mpya katika maisha. Pia anawasihii
wote wenye changamoto za uzazi wamuombe Mungu bila kuchoka....
Aliongezea kusema....".....I can't wait to b a grandma!!
News
Wednesday, May 11, 2016
0 Response to "Baada ya Miaka 46 ya Ndoa, Mwanamke Mwenye Miaka 70 Amejifungua Mtoto wa Kwanza Huko India"
Post a Comment