UTAFITI: AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 10 KILA SIKU

blogger templates

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania LHRC Dkt. Hellen Kijo-bisimba amesema watu waliokufa kwa ajali ya bodaboda nchini wamefikia 2000 katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2015.a matokeo ya utafiti wa repoti ya haki za binadamu Tanzania kwa mwaka 2015 inayoonesha kuwa kila siku ajali za barabarani zinaua watu 10.

0 Response to "UTAFITI: AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 10 KILA SIKU"

Post a Comment