Mbona AY akaamua kutotoa albamu?

blogger templates
20 Aprili 2016 Imebadilishwa mwisho saa 15:04 GMT Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendeleza msako wa wafanyabiashara wanaouza kazi za filamu na muziki bila kubandikwa stempu halali za kodi kuzilinda kazi za wasanii. Imesema katika kipindi kisichozidi mwezi mmoja mwaka huu, serikali imepoteza dola za Kimarekani 16,000, kutokana na kazi hizo za wasanii zilizokuwa sokoni bila ya kulipiwa kodi. Je wasanii na wafanyabiashara wanaouza kazi za wasanii wana maoni gani kuhusu msimamo wa TRA? Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela alizungumza na baadhi yao akiwemo mwanamuziki AY

0 Response to "Mbona AY akaamua kutotoa albamu?"

Post a Comment