» MEDIA » Mtangazaji wa BBC Salim Kikeke amepata mtoto wa kiume aliye mpa jina la Ioan (Yoan) Issa Kikeke.Habari zaidi click link hi..............

blogger templates
 
 
kupitia ukulasa wake wa facebook salim kikeke ameandika aya Asanteni sana kwa salaam zenu. Bado niko kwenye likizo ya uzazi. Naomba radhi kwa wasanii wachanga kwa kushindwa kurusha kazi zenu kwa muda sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, hali kadhalika kwa mashabiki wa habari mbalimbali za ulimwengu pamoja na za michezo kumekuwa kimya kidogo lakini msiwe na shaka tutaendelea hivi karibuni.
Nichukue nafasi hii pia kuwatambulisha kwa bwana mdogo Ioan (Yoan) Issa Kikeke.
Kwa mapenzi yake Mola nitarejea kazini mwisho wa mwezi huu wa Aprili. Shukran sana na Mwenyezi Mungu awabariki sana.

0 Response to " » MEDIA » Mtangazaji wa BBC Salim Kikeke amepata mtoto wa kiume aliye mpa jina la Ioan (Yoan) Issa Kikeke.Habari zaidi click link hi.............. "

Post a Comment