Kifo cha Papa Wemba Chazua Utata...Wadai Aliwekewa Sumu Kwenye Mic...Tazama Hii Video Ikionyesha Tukio Nzima la Kubadilishiwa Mic

blogger templates
Mtandao wa Kinshasa-makomba.com ametoa shutuma kuwa mwimbaji Papa Wemba aliyefariki wiki iliyopita kwa kuangaka jukwani ghafla hakufariki kwa kifo cha kawaida bali amewekewa sumu kwenye mic aliyekuwa akiimbia..Mtandao huo umekwenda mbali zaidi na kuweka video ikionyesha tukio zima jinsi alivyobadilishiwa mic na kuwekewa yenye sumu....

0 Response to "Kifo cha Papa Wemba Chazua Utata...Wadai Aliwekewa Sumu Kwenye Mic...Tazama Hii Video Ikionyesha Tukio Nzima la Kubadilishiwa Mic"

Post a Comment