FDLR washambulia kituo cha polisi Rwanda

blogger templates





Wapiganaji wa kundi la waasi wa FDLR washambulia kituo cha polisi nchini Rwanda.
Jeshi la Rwanda limethibitisha kuwa kituo kimoja cha polisi cha eneo la Bugeshi ,Kaskazini Magharibi kwenye mpaka kati ya nchi hiyo na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimeshambuliwa na wapiganaji wa kundi la FDLR.
Kulingana na naibu msemaji wa jeshi la Rwanda Luteni kanali Rene Ngendahimana,wapiganaji wanaokadiriwa kuwa kati ya 20 na 30 wa FDLR wamevuka eneo hilo la mpakani mnamo usiku wa manane kuamkia leo na kushambulia kituo hicho cha polisi.

0 Response to "FDLR washambulia kituo cha polisi Rwanda"

Post a Comment