ALICE WA “NIMEKUCHAGUA” CHINI YA MAMENEJA WAWILI, ATATOBOA?

blogger templates

Tanzania House of Talent (THT) ni nyumba ya kukuza vipaji na imekuza vipaji vya wasanii wengi, Alice Kella ni msanii anayeimba muziki aina ya Bongo Fleva upande wa Afro Pop, RNB na Zuku na mpaka sasa ananyimbo tatu.
Alice yuko chini ya mameneja wawili Sale Gadau na Ray Johns ambao wote wanasimamia kazi zake, msanii huyu ameachia nyimbo yake mpya inayoitwa “Siri si Siri” ambayo anategemea itafanya vizuri zaidi ya “Nimekuchagua” ukilinganisha na nyimbo yake ya kwanza iliyofanya vizuri kuliko zote ijulikanayo kama “Je Utanipenda”.
Licha ya kumtaja Banana Zorro staa wa miondoko ya Zuku kama “Role Model” wake, lakini Malengo ya Alice ni kutengeneza ‘Hit Songs na kufika kimataifa

0 Response to "ALICE WA “NIMEKUCHAGUA” CHINI YA MAMENEJA WAWILI, ATATOBOA?"

Post a Comment