News
Saturday, April 30, 2016
Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa....
Mdau mmoja wa ACT Wazalendo kutoka Kibaha ajulikanae kama Habib Mchange ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu ahadi ya Rais Magufuli kuonyesha Salary Slip ya Msahara wake:
"Hivi Rais #MAGUFULI bado yupo likizo au amesharudi kazini Magogoni?.
Mbona alituahidi kutuonyesha #SALARY-#SLIP yake anayolipwa 9.5ml. Kila mwezi kama mshahara na Mpaka leo Kimya?.
#Magufuli Baba ahadi ni deni. Tuwekee wazi kale ka salary Slip kako ili tuone unavyoyaishi maneno yako.
Yawezekana umesahau na wanaokuzunguka wanaogopa kukukumbusha wanahofu utawatumbua.
Kwetu sisi #ACtWAZALENDO ni Kusema ukweli tu bila kumung'unya Maneno.
#AuNaloJipu?" By Habib Mchange
0 Response to "Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa...."
Post a Comment