Wabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa Hichi Hapa
Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi hii,
baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya
kimapenzi na viongozi wao
Kauli hiyo ilitolewa na Mbunge Goodluck Mlinga
0 Response to "Wabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa Hichi Hapa"
0 Response to "Wabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa Hichi Hapa"
Post a Comment