Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka alipopata nafasi hiyo ya kuchangia ambapo kwanza anaonyesha kutopendezwa na kauli za mzungumzaji wa kwanza alipozungumzia kuhusu utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya Tano.
Huyu hapa Profesa Tibaijuka kwenye dakika zake saba za kumsikiliza…
0 Response to "VIDEO: ‘Wanaosema Mimi Mwizi Wataisoma Namba’-Prof. Tibaijuka"
Post a Comment