Mashabiki wamemchana Shilole na kusema kuwa yeye si mwanamke mzuri katika wasanii wanaofanya bongo fleva huku wakisema kuwa uzuri wake hausofei kabisa kwa msanii Vanessa Mdee.
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakimpa madongo kuwa mwanamke mzuri hawezi kujianika kama yeye, huku wengine wakisema kuwa mwanamke mzuri hawezi kuwa yeye kutokana na tabia yake ya kutojiheshimu na wengine wakisema kuwa yeye hana lolote na wa kawaida kabisa.
"Kuna manzi wakuitwa Vanessa cheki yule manzi alivyo mcute wewe nani wachakuji puraaaaaaaaaaa" Africanboihacker
0 Response to " Shilole Humfikii Vanessa Mdee Kwa Uzuri - Mashabiki Wagoma"
Post a Comment