Katika utumbuaji majibu kwa watumishi wa umma Rais Magufuli alitamka kwa
msisitizo kuwa hakuna kuwapa nafasi watu wanaotuhumiwa kuharibu kazi
zao Bali ni kuchukua hata mengine baadae yatajulijana. Kuna waliopiga
kelele kuwa kanuni za utumishi hapo zinakiukwa. Nae akajibu potelea
mbali alipokuwa anazungumza na viongozi wa ccn Ikulu.
Jana Makamu wa Rais Samoa akiwa Geita kaagiza viongozi wa serikali na
kisiasa (kisiasa nadhani ni mawaziri,RC na DC) kuacha kuchukua hatua kwa
watumishi bila kufuata kanuni za kazi na kusikiliza upande wa pili.
Jee huku nikufuta kauli ya Rais baada ya kuona imekwenda kinyume au ni
kila mtu na agizo lake? Viongozi walioagizwa wafuate kauli ioi hapo?
By Chakaza
News
Friday, May 13, 2016
0 Response to "Magufuli Anasema Tumbueni Majipu laivu, Samia Anasema Tumbueni kwa Kufuata Utaratibu...Viongozi Wamfuate Nani?"
Post a Comment