Diamond Platnumz amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma mtandaoni kuwa
alimsaliti mpenzi wake Zari na mrembo aliyetumika kwenye video ya wimbo
wa msanii wake Raymond, Kwetu.
“Sio kweli, wanahisi hivyo kwasababu ni binti mzuri, wanaamini kwamba
kwasababu ni binti mzuri naweza kufanya chochote, kwasababu naonekana
kuwa ni maarufu na nina uwezo, Raymon ndio msanii wetu so labda
ningeonekana kuwa naweza kuchukua majukumu hayo,” Diamond aliiambia
Fahamu TV.
Tetesi ambazo bado zinaendelea kuvuma zilisababisha msichana huyo aitwaye Irene atukanwe na baadhi ya mashabiki.
entertaiment
Saturday, May 14, 2016
0 Response to "Diamond Akanusha Kumsaliti Zari na Model wa Video ya Raymond ‘Kwetu’"
Post a Comment