UTAFITI: AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 10 KILA SIKU
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki
za Binadamu nchini Tanzania LHRC Dkt. Hellen Kijo-bisimba amesema watu
waliokufa kwa ajali ya bodaboda nchini wamefikia 2000 katika kipindi cha
mwaka mmoja wa 2015.a matokeo ya utafiti wa repoti ya haki za binadamu
Tanzania kwa mwaka 2015 inayoonesha kuwa kila siku ajali za barabarani
zinaua watu 10.
0 Response to "UTAFITI: AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 10 KILA SIKU"
0 Response to "UTAFITI: AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 10 KILA SIKU"
Post a Comment