Wema Sepetu aja na mradi mpya ‘Wema na Jamii’

blogger templates

Wema Sepetu ameamua kurudisha kwa jamii.

Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.

Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.




0 Response to "Wema Sepetu aja na mradi mpya ‘Wema na Jamii’"

Post a Comment