Wabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa Hichi Hapa

blogger templates

Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi hii, baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya kimapenzi na viongozi wao

Kauli hiyo ilitolewa na Mbunge Goodluck Mlinga

0 Response to "Wabunge Wanawake wa Upinzani Ukawa Wametoka nje ya Bunge Asubuhi Hii..Kisa Hichi Hapa"

Post a Comment