Vuai Nahodha: Serikali ya Muungano na Serikali ya Zanzibar zapaswa Kugawana Mapato

blogger templates
Kwenye video anaongea anasema ''Hali ya mtafaruku wa kisiasa Zanzibar unatokana na ukosefu wa rasilimali na hali duni ya kiuchumi , hivyo uchumi mkubwa ni sharti usaide uchumi mdogo, serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi zapaswa kugawana mapato, amani ya Tanzania inategemea sana mustakabali wa uchumi wa Zanzibar''



0 Response to "Vuai Nahodha: Serikali ya Muungano na Serikali ya Zanzibar zapaswa Kugawana Mapato"

Post a Comment