TRA wameachia huru Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata kwa kile walichodai imeingia nchini kihalali
Sukari iliyoachiliwa ni zile tani elfu 6,757 iliyokutwa kwenye maghala
Mbagala Dar es Salaam, baada ya kujiridhisha iliingizwa kihalali nchini.
My Take:
Mimi nlijua Sukari hiyo itagawiwa bure, Nashauri Serikali ipunguze Siasa
katika Mambo ya Msingi. Mambo kama haya yanapunguza imani kwa Rais,
Haiwezekani rais aseme Sukari itakayokamatwa igawiwe bure halafu nyie
Mseme eti Sukari iliingizwa kihalali kwa kufuata taratibu zote.
Je, nani kamdanganya Rais?. Hakika Rais Magufuli anahujumiwa
News
Tuesday, May 10, 2016
0 Response to "TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, Imeingia Nchini Kihalali, Haitagawiwa Bure"
Post a Comment