TAZAMA Hapa Video na Picha Jinsi Diamond na Mafikizolo Walivyotinga Bungeni Leo Asubuhi

blogger templates
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.

Tazama Video Hapa

0 Response to "TAZAMA Hapa Video na Picha Jinsi Diamond na Mafikizolo Walivyotinga Bungeni Leo Asubuhi"

Post a Comment