SOMA HAPA ,chanzo cha kifo cha msanii wa filamu nchini, james a.k.a KINYAMBE..

blogger templates
DOWNLOAD UDAKU SPECIAL APP HAPA

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia Saluti5 kuwa msanii huyo wa filamu  ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
R.I.P KINYAMBE

0 Response to "SOMA HAPA ,chanzo cha kifo cha msanii wa filamu nchini, james a.k.a KINYAMBE.."

Post a Comment