Sipendi Kuzungumzia Mahusiano yangu Kwenye Radio – Nuh Mziwanda

blogger templates
Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa “Jike Shupa” amesema kwa sasa hapendi kuongelea mahusiano yake kwenye radio maAna inafanya watu wanasahu muziki wake na kuanza kufuatilia mahusiano yake.

Alisema hayo alipo kuwa kwenye kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds Fm alipoulizwa kuhusu kumfumania Shilole na Madee hotelini walipofikia wakati wa show ya Nuh Mziwanda. Amekataa kuzungumzia suala hilo na wala hakuthibitisha kuwa aliwafumania kweli japo anasema jambo hilo lilimumiza sana.

0 Response to "Sipendi Kuzungumzia Mahusiano yangu Kwenye Radio – Nuh Mziwanda"

Post a Comment