Sikiliza na Download Wimbo Mpya Kutoka Kwa Mwanamuziki KB, Wimbo Unaitwa Binadamu

blogger templates
Msanii mpya KB jina lake halisi ni Kulwa Bilal, ni Msanii chipukizi anayefanya vizuri sana kwenye hiii industry ya Muziki Tanzania chini ya management ya Clarence_june22 Events, amejikita  haswa kwenye mziki wa bongo flavour  hivi karibuni  ametoa single  kali sana inayoitwa BINADAMU.. Wadau wote KB anaomba sana support yenu kwa sababu bila ninyi hakuna  muziki.

0 Response to " Sikiliza na Download Wimbo Mpya Kutoka Kwa Mwanamuziki KB, Wimbo Unaitwa Binadamu"

Post a Comment