Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

blogger templates
Baada ya muda mfupi wa rais kusema kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala kuna Sukari ya zaidi ya tani 4,900 kwenye ghala la mfanyabiashara mmoja na imeelezwa zitachukuliwa hatua stahiki.

Chanzo: TBC, habari mpasuko

0 Response to "Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar"

Post a Comment