Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na
kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu
anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo
yumo.
Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho
cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya
na kutukera
News
Thursday, May 12, 2016
0 Response to "Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya"
Post a Comment