entertaiment
Sunday, May 1, 2016
Mama Wema Sepetu Aonyesha Alivyoumbika Adai Mtoto wake Amechukua Kwake..Awashangaa Wanaosema Wema Ametumia Dawa Kukuza Makalio
Mama Wema Sepetu Ameongea na Kusema kuwa anawashangaa wale wote wanaosema mtoto wake ameongeza makalio kwa dawa wakati wanaona kabisa kuwa amerisi makalio hayo kutoka kwa mama yake...Mama huyo amekwenda mbali zaidi na kuweka video yake hapa akionyesha jinsi alivyo mashalaaa......
0 Response to " Mama Wema Sepetu Aonyesha Alivyoumbika Adai Mtoto wake Amechukua Kwake..Awashangaa Wanaosema Wema Ametumia Dawa Kukuza Makalio"
Post a Comment