Kwa hili la Kukataa Mwaliko wa Uingereza, Rais Sikuungi Mkono

blogger templates
Rais John Magufuli amepata heshima ya pekee kualikwa na waziri mkuu wa Uingereza katika mkutano utakaofanyika kuzungumzia mikakati ya mapambano ya rushwa ikiwa ni nchi mbili tu zimepata fursa hiyo kwa bara la Africa ikiwemo pia Nigeria.

Lakini Rais wetu amedai sasahivi amebanwa na majukumu kwahiyo atawakilishwa na Waziri mkuu mh. Kassim Majaliwa

Chanzo: Cloudz Tv

0 Response to "Kwa hili la Kukataa Mwaliko wa Uingereza, Rais Sikuungi Mkono"

Post a Comment