Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe
Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na
Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa
hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe
Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia
Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania
Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa
Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo
News
Friday, May 13, 2016
0 Response to "Kumbe Madee Alimkwichikwichi na Shilole na Nuhu Kuwafumania !"
Post a Comment