Jengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha Ijumaa Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma. Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi Idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 33. Watu 80 kufikia sasa bado hawajulikani walipo.

blogger templates

Mwanasiasa mashuhuri nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Mfanyabiashara huyo na gavana wa zamani wa jimbo la Katanga alitoa tangazo hilo kupitia kwa mitandao ya kijamii.

Muungano wa vyama kadha vya upinzani uliamua kumuidhinisha Bw Katumbi kuwa mgombea


Bw Katumbi, akitangaza kuwania kwake, amepuuzilia mbali madai kwamba alipokuwa waziri wa hati alitumia mamluki kutoka nje akisema habari hizo ni za uongo.

Moise Katumbi anaweza kuwa rais DR Congo?

Kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo Rais Joseph Kabila anatakiwa kuondoka madarakani mwaka huu lakini wapinzani wake wana hofu kuwa huenda ana mipango ya kusalia madarakani

0 Response to " Jengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha Ijumaa Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma. Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi Idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 33. Watu 80 kufikia sasa bado hawajulikani walipo."

Post a Comment