Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko
5319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Million 373.5 kwa Taasisi mbali
mbali Mkoani Lindi baada ya kuthibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa
TFDA kuwa ni Salama kwa matumizi.
Sukari hiyo ilikamatwa mwezi Februari mwaka huu katika bandari ya Lindi
ndani ya meli ya MV Hassanat ikiingizwa kinyume cha Sheria ikitokea
nchini Brazil kupitia Zanzibar.
Sukari hiyo ilipaswa kulipiwa Kodi zaidi ya shilingi Million 246
0 Response to "HATIMAE Mamlaka ya Mapato (TRA) Yataifisha na Kugawa Bure Sukari Mifuko 5,319 toka Brazil Yenye thamani ya Sh 373.5 milioni"
Post a Comment