Rapper Cyrill Kamikaze amekanusha kuwa na uhusiano na video Queen wake wa katika video ya ‘Shori’ Kidoa.
Akiongea na E-Newz, Cyrill amesema kuwa yeye na video queen huyo ni
washkaji tu. Kuna tetesi kuwa Cyrill alimtosa mwanamke wake wa zamani
ili awe na mwananadada huyo.
Kuna picha ambayo Kidoa alipost na kuandika: He is ma real Ma, huku
zikiwa zimebebwa na picha za Cyrill. Hata hivyo rapper huyo amekanusha
kwa kudai, “Watu tu wameamua kuichukulia hivyo lakini hakuwa huko.
entertaiment
Thursday, May 12, 2016
0 Response to " Cyrill Kamikaze Akanusha Kuwa na Uhusiano na Mrembo Kidoa"
Post a Comment