Msanii amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Basata kinachomtambua kama msanii.
Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.
Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.
0 Response to " Breaking News:Mwanamuziki Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa..Kisa Chura"
Post a Comment