Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy atimae ameasaini
kuichezea Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, Hii ni baada ya
mkataba wake na Simba wa miaka miwili kumalizika.
Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Akiwa na Meneja
wa Kessy, Tippo Athumani na katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit Kessy
ataanza kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "BEKI wa Simba Hassan Kessy Asaini Kuichezea Klabu ya Yanga kwa Miaka miwili"
Post a Comment