Home » entertaiment
» Baada ya baridi kuonekana kali jijini Dar es Salaam na kimvua kikiwa kinashawishi watu ku kwichikwichi, Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameona bora aandike waraha huu kuhusu mapenzi. Usome hapa chini: "Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi 😂😂 But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa views zangu tu LOVE and being INLOVE ni vitu viwili tofauti, unaweza kumpenda mtu asijihisi sawa na wewe ila iyo haibadilishi kumpenda Na pia unaweza kukutana na mtu mkapendana na mkakaa mkapanga maisha ya badae etc Ila cha kuzingatia na aina ya mapenzi mliochagua, kuna yale ya kimjini mjini (kick za hapa na pale) hayo hayana shida cause commitment level yake ni ndogo na likelihood ya kuumizana pia ndogo Kiasi mkiachana kila mtu anasepa zake na no hard feelings Then kuna yale ya one sided yale ambayo bahati mbaya wanawake tunajikuta nayo sana.. Hapa ni umempenda mtu fully ila yeye ana issue zake bado, so wewe pale umejibweteka na unapenda kweli being faithful and all ila yeye anakupiga fix Ukute ana mwingine pembeni prolly wengine hadi kuoa washaoa ila wewe si umependa?? Anakudanganya hana na wewe unamuamini, ukichunguza hapa na pale unaona hakuna ... Hata ukiambiwa macho umefunga kwasababu ya moyo, haya shida yake ni mmoja lazima uumie kwakua aliweka imani yako pale.. Ya tatu na ya mwisho ni yale wote wako committed ila circumstances zinawafanya waachane (hapa wote wanaumia kwakua wote waliweka high hopes) Sasa kuna almost relationships ambazo kila mtu ana time zake so mkikutana poa, msipokutana poa pia... Kuna zile side relations (sidechick au side nigga) unakuta ana commitment uko na wewe kule ila mkikutana mnafanya yenu (hii imekua common sana siku hizi.. Sijui kwanini ila binafsi naona its destroying our young girls ) Na zingine nyingi .. Now my point is with all this relations types embu jichunge moyo wako na uwe mkweli kwa nafsi yako.. Cause in the end anaeumia ni wewe si wanaokusapoti sio aliekuacha au watu wanao comment insta.. Ni wewe na moyo wako, na kitanda chako usiku ukilia. Kabla hujaanza jua risk na kama its worth it, take it. Ila kama una second thoughts tafadhali acha tu. Yaani mi naona hakuna right or wrong in this ila cha muhimu ni wewe na nafsi yako 1. Umependa? 2. Una mpango gani katika huo uhusiano 3. Mwenzio amesimama wapi na ana mpango gani Cha mwisho na kikubwa embu SALI, piga goti we salia mahusiano yako"
Baada ya baridi kuonekana kali jijini Dar es Salaam na kimvua kikiwa kinashawishi watu ku kwichikwichi, Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameona bora aandike waraha huu kuhusu mapenzi. Usome hapa chini: "Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi 😂😂 But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa views zangu tu LOVE and being INLOVE ni vitu viwili tofauti, unaweza kumpenda mtu asijihisi sawa na wewe ila iyo haibadilishi kumpenda Na pia unaweza kukutana na mtu mkapendana na mkakaa mkapanga maisha ya badae etc Ila cha kuzingatia na aina ya mapenzi mliochagua, kuna yale ya kimjini mjini (kick za hapa na pale) hayo hayana shida cause commitment level yake ni ndogo na likelihood ya kuumizana pia ndogo Kiasi mkiachana kila mtu anasepa zake na no hard feelings Then kuna yale ya one sided yale ambayo bahati mbaya wanawake tunajikuta nayo sana.. Hapa ni umempenda mtu fully ila yeye ana issue zake bado, so wewe pale umejibweteka na unapenda kweli being faithful and all ila yeye anakupiga fix Ukute ana mwingine pembeni prolly wengine hadi kuoa washaoa ila wewe si umependa?? Anakudanganya hana na wewe unamuamini, ukichunguza hapa na pale unaona hakuna ... Hata ukiambiwa macho umefunga kwasababu ya moyo, haya shida yake ni mmoja lazima uumie kwakua aliweka imani yako pale.. Ya tatu na ya mwisho ni yale wote wako committed ila circumstances zinawafanya waachane (hapa wote wanaumia kwakua wote waliweka high hopes) Sasa kuna almost relationships ambazo kila mtu ana time zake so mkikutana poa, msipokutana poa pia... Kuna zile side relations (sidechick au side nigga) unakuta ana commitment uko na wewe kule ila mkikutana mnafanya yenu (hii imekua common sana siku hizi.. Sijui kwanini ila binafsi naona its destroying our young girls ) Na zingine nyingi .. Now my point is with all this relations types embu jichunge moyo wako na uwe mkweli kwa nafsi yako.. Cause in the end anaeumia ni wewe si wanaokusapoti sio aliekuacha au watu wanao comment insta.. Ni wewe na moyo wako, na kitanda chako usiku ukilia. Kabla hujaanza jua risk na kama its worth it, take it. Ila kama una second thoughts tafadhali acha tu. Yaani mi naona hakuna right or wrong in this ila cha muhimu ni wewe na nafsi yako 1. Umependa? 2. Una mpango gani katika huo uhusiano 3. Mwenzio amesimama wapi na ana mpango gani Cha mwisho na kikubwa embu SALI, piga goti we salia mahusiano yako"
Video queen aliyetokelezea kwenye video kibao za bongo Gigy Money ameamua kufunguka juu ya masinema yake. Giggy ambaye haishi vituko na kuibua mapya kila siku mitandaoni aliiambia eNewz kuwa yeye wala hajali maneno ya watu na anapenda sana yale mapicha picha yake ya utupu.
“Mimi sipo kwa ajili ya kiki mimi napenda kile ninachokifanya na ndio ninachokifanya mimi nipo kwa ajili ya kutengeneza pesa tu na kipo kiwango ambacho nakitaka nifikie na sasa natarajia kufikia,” alisema Gigy
0 Response to "Baada ya baridi kuonekana kali jijini Dar es Salaam na kimvua kikiwa kinashawishi watu ku kwichikwichi, Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameona bora aandike waraha huu kuhusu mapenzi. Usome hapa chini: "Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi 😂😂 But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa views zangu tu LOVE and being INLOVE ni vitu viwili tofauti, unaweza kumpenda mtu asijihisi sawa na wewe ila iyo haibadilishi kumpenda Na pia unaweza kukutana na mtu mkapendana na mkakaa mkapanga maisha ya badae etc Ila cha kuzingatia na aina ya mapenzi mliochagua, kuna yale ya kimjini mjini (kick za hapa na pale) hayo hayana shida cause commitment level yake ni ndogo na likelihood ya kuumizana pia ndogo Kiasi mkiachana kila mtu anasepa zake na no hard feelings Then kuna yale ya one sided yale ambayo bahati mbaya wanawake tunajikuta nayo sana.. Hapa ni umempenda mtu fully ila yeye ana issue zake bado, so wewe pale umejibweteka na unapenda kweli being faithful and all ila yeye anakupiga fix Ukute ana mwingine pembeni prolly wengine hadi kuoa washaoa ila wewe si umependa?? Anakudanganya hana na wewe unamuamini, ukichunguza hapa na pale unaona hakuna ... Hata ukiambiwa macho umefunga kwasababu ya moyo, haya shida yake ni mmoja lazima uumie kwakua aliweka imani yako pale.. Ya tatu na ya mwisho ni yale wote wako committed ila circumstances zinawafanya waachane (hapa wote wanaumia kwakua wote waliweka high hopes) Sasa kuna almost relationships ambazo kila mtu ana time zake so mkikutana poa, msipokutana poa pia... Kuna zile side relations (sidechick au side nigga) unakuta ana commitment uko na wewe kule ila mkikutana mnafanya yenu (hii imekua common sana siku hizi.. Sijui kwanini ila binafsi naona its destroying our young girls ) Na zingine nyingi .. Now my point is with all this relations types embu jichunge moyo wako na uwe mkweli kwa nafsi yako.. Cause in the end anaeumia ni wewe si wanaokusapoti sio aliekuacha au watu wanao comment insta.. Ni wewe na moyo wako, na kitanda chako usiku ukilia. Kabla hujaanza jua risk na kama its worth it, take it. Ila kama una second thoughts tafadhali acha tu. Yaani mi naona hakuna right or wrong in this ila cha muhimu ni wewe na nafsi yako 1. Umependa? 2. Una mpango gani katika huo uhusiano 3. Mwenzio amesimama wapi na ana mpango gani Cha mwisho na kikubwa embu SALI, piga goti we salia mahusiano yako""

Post a Comment