Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin
kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa
masomoni.
Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa
Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka
mara tu baada ya mwili kuwasili.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.
Innalillah wa inna ilayhi raajiun
News
Tuesday, May 10, 2016
0 Response to "Ankal Issa Michuzi wa Issa Michuzi Blog Afiwa na Mtoto wake"
Post a Comment