Mahakama moja ya Japan imemwachia huru mwanamke mmoja aliyetengeza boti iliyofanana na uke wake.
Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi Igarashi iliofanana na uke wake na yenye rangi nyingi haikuashiria umbo la uke.
Hatahivyo ,alipigwa faini ya dola 3,700 baada ya jaji kuamuru hakuvunja
sheria kwa kusambaza data ya uke wake ambayo inaweza kutumika kutengeza
umbo la uke wake.
Sheria kali za Japan zinapinga kuonyeshwa hadharini kwa sehemu za siri.
Igarashi mwenye umri wa miaka 42, kwa jina Rokudenashiko au ”good for
nothing girl” alikamatwa mwaka 2014 baada ya boti yake kuonyeshwa katika
duka moja la vifaa vya ngono mjini Tokyo.
Alishtakiwa chini ya sheria ya mambo machafu kwa kuonyesha boti hiyo na
kusambaza data yake kwa wale waliochangisha fedha ili itengezwe.
Siku ya Jumatatu jaji mmoja aliamua kwamba rangi zake zinazong’aa na mapambo yake hayaonyeshi ukweli wa umbo la uke.
“Lakini data yake licha ya kutokuwa na umbo la uke itatumika kutengeza
uke wa Bi Igarashi kwa kutumia 3D na hivyobasi ni uchafu,” alisema jaji.
Bi Igarashi alipigwa faini nusu ya Yen 800,000 zilizohitajika na afisi ya mashtaka.
Source:BBC
News
Wednesday, May 11, 2016
0 Response to "ANGALIA MAAJABU YA DUNI mwanamke aunda Boti lake lenye umbo sawa na Uke wake.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>"
Post a Comment