TAZAMA:Video za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi youtube miezi 3 ya kwanza ya 2016

blogger templates
video  kumi za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi katika channel za youtube katika kipindi cha miezi 3 ya kwanza ya mwaka 2016. Ni video zilizotoka kuanzia Januari 1 hadi Machi 31
Bongo5 imekuandalia video kumi za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi katika channel za youtube katika kipindi cha miezi 3 ya kwanza ya mwaka 2016. Ni video zilizotoka kuanzia Januari 1 hadi Machi 31.
g
Katika list hii, AY anaongoza kupiti video yake ya wimbo, Zigo Remix, aliyomshirikisha Diamond. Harmonize anashika nafasi ya pili kupitia video yake ya wimbo,’Bado’ aliyomshirisha Diamond. Pia Diamond anashika nafasi ya tatu kupitia video yake ya wimbo, Make Me Sing, aliyoshirikiana na AKA, Ali Kiba ameingia na video mbili, moja ni ya wimbo Unconditionally Bae, aliyoshirikiana na Sauti Sol, na nyingine ni video ya wimbo wake, Lupela.
AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix
5,768,007 views

Harmonize ft Diamond – BADO
3,089,644 views

AKA & Diamond Platnumz – Make Me Sing
3,033,900 views
Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae
1,448,382
Alikiba – Lupela
1,485,336 views
Navy Kenzo – Kamatia
754,544 views

Vanessa Mdee – Niroge
483,626 views
MwanaFA – Asanteni kwa Kuja
329,536 views

Dogo Janja – My Life
370,705 views
Fid Q ft Taz – WALK IT OFF
198,125 views
Msami – Mabawa
122,916 views

0 Response to " TAZAMA:Video za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi youtube miezi 3 ya kwanza ya 2016 "

Post a Comment